PaGo · Safari rahisi

Masharti ya huduma ya PaGo

Chagua kampuni, route, ofisi, tarehe na kiti sahihi kabla ya kuthibitisha huduma. Nauli na hali ya malipo huonyeshwa kwenye booking au risiti.

Booking inayosubiri malipo si tiketi iliyolipiwa. Kiti kinaweza kuachiwa hold ikiisha muda. Tiketi iliyolipiwa ina reference, QR na taarifa za safari.

Mzigo hutolewa baada ya uhakiki wa malipo, ofisi, mpokeaji, kitambulisho na OTP binafsi. Namba ya public tracking haiwezi kutumika kuchukua mzigo. Usishirikishe OTP au signed QR kwa watu wasiohusika.

Mabadiliko ya safari, cancellation, refund na madai hufuata huduma na ukaguzi wa kampuni husika. Wasiliana na kampuni iliyo kwenye tiketi/risiti kwa msaada wa huduma yako.